Natafuta kioo cha sony xperia Z1 screen touch

Natafuta kioo cha sony xperia Z1 screen touch

malewa

Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
15
Reaction score
4
Wakuu simu imedondoka na kioo kimepasuka, inawaka kama kawaida lakini siwezi screen yake haipo active hivyo siwezi kufanya chochote iwe ni kupiga simu, kupokea, kusoma WhatsApp etc.
Mwenye nacho tafadhali tuwasiliane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom