Atakayeweza kuniombea kisawasawa au kunifanyia uganga wa kutosha ili tu baba mwenye nyumba yangu asahau kunidai kodi yake ya nyumba kwa kipindi chote hiki ninachokaa kwake na ikiwezekana kama vipi anirithishe na hii nyumba yake niliyopanga.
Naomba kuwasilisha.
toka nje kati ya saa saba na saa tisa usiku
ukiwa umeshika ungo nenda mpaka njia panda
tazama juu mwezi kama dakika moja bila kuondoa
macho katika mwezi
basi utajiwa na nguvu za ajabu katika
kila utakacho sema kitakuwa.
(zingatia maneno yanaumba )
halafu rudi nyumbani chukua sadaka mfano kuku
halafu ukamchinjie hapo
kabla ya kupambazuka.