Natafuta King'amuzi cha Star Times

Hivi huwa mnaangalia UEFA na EPL ktk visumbuzi hivyo
 
hiyo hapo @ Mandwa
 
Attachments

  • 1415418616079.jpg
    49.8 KB · Views: 148
Jamani bado natafuta king'amuzi mwenye nacho nijuze nina elfu 50

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jamani bado natafuta king'amuzi mwenye nacho nijuze nina elfu 50

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
nitafute kwa namba 0714908998.ninacho na kipo ktk hali nzur sana
 
Offer yangu 30,000/= nipo Dar.

Kwa mtu aliyenacho tuwasiliame kwa PM.

mm kwa sasa nipo mwanza nahitaji king'amuzi cha star times kwa sh. 35000/= mwenye nacho ani PM.
 
Bado natafuta mzigo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bado natafuta mzigo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu ukishapata unauza nn kwa bei ya juu nn, maana wadau wanakwambia wanavyo baada ya siku kadhaa unarud tena bado unataka mzgo
 
mandwa nipe namba yako pm nikupatie hiyo dikoda kesho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…