Natafuta kikoba Jijini Dar

Natafuta kikoba Jijini Dar

omereyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
308
Reaction score
91
Mimi ni mjasiriamali natafuta kikoba hapa Dar kwa ajili ya kukuza mtaji na kuhifadhi hela. Tatizo vikoba vya Dar natahadharishwa viko kitapeli baadhi. Je, ni kweli?

Muda wangu ni wikiend, naamini naaminika maana hela bhana! Kikoba chenye nafasi niambiwe tafadhali .
 
Tafuta watu kadhaa waliokuzunguka anzisheni chenu, walimu wapo wa vikoba watakao wasimamia.
 
Back
Top Bottom