Natafuta kijana wa kuwa Fundi welding

Natafuta kijana wa kuwa Fundi welding

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
846
Reaction score
870
natafuta kijana atakuwa anakaa kwenye kijiwe cha kaka yangu ana duka ila machine ya kuchomea ipo tu haitumiki, kaz ikija basi anafanya tutakubaliana tutavyogawana . Kama yupo interested aje PM
 
Kijiwe kipo wapi na malipo ni kiasi gani mana kuna watu huwa wana lipa kwa kazi kama dirisha lina bei yake.. Geti kubwa nalo lina bei yake.. Na kama siku hakuna kazi kabisa malipo yana kuwaje
 
nenda VETA Changombe kama hupo Dar, unaweza pata kuna boss wangu mmoja mchina alikwenda pale akatapata vijana wanapiga kazi fresh
 
Back
Top Bottom