Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

Natafuta kigari cha bei nafuu Tanga

brobiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
625
Reaction score
855
Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
 
Tafuta Corolla 100 au 110, ukipata Toyota Sprinter nayo poa mafuta ya buku 5000. Unatamba kuanzia Kwa Njeka,Mikanjuni, Bombo,Sahare mpaka Nguvu Mali.
Ukienda Chichi au La vida wakati wa kuondoka wafuasi hukosi.

Kama upo Serious, nikuchekie Toyota Corolla 100.
 
Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
Uzuri wa spacio ni gari ngumu sana nadhani kwa sababu ni corolla yaan iwe ile ya zamani au hii ya sasa zote ni gari ngumu na zinavumilia sana mikiki mikiki

lakini pia ni gari zenye space kubwa sana ndani yaan nafasi ni kubwa na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana maana ina engine kama ya IST 1490 ccc au 1.5L kifupi ni gari nzuri hata spare zake ni nyingi sana na zinapatikana kirahisi
 
Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
gari ya milioni 1???

kwenye ukoo!
 
Tuwasiliane pm Mkuu kama bado hujapata
 
Kama Familia ya jf mambo mengi tunasaidiana kama washkaj kauli za dharau, kejeli ni inaonesha you are not matured enough mbona wengine wamekuja kistarabu tu naomba tu niseme if mission wii be accomplished nitaleta mrejesho hapa, be blessed my people
 
Hahahaaaaaaaaaaa aiseeeee !!! Sikusoma hapo aisee hahaha 1.5m ni bei ya fekon au kinglion hiyo hahahaaa.
Kwa maelezo yake kwamba garage sio ishu anapata gari tena anaweza pata nzuri tu labda atake kutia mbwembwe mwnyw sio lazima kila mtu aendeshe IST mkuu hzo ni za uchumi wa kati tupo sisi wa uchumi wa chini ndio gari zetu za bei hizo
 
Hahaaaaa! aingie kupatana kuna toyota mark II moja nliona inauzwa 1.8m wanaweza kupunguziana hadi hapo alipo yeye
 
Wadau Habari za mida hii, ni matumaini yangu ni wazima mnaendelea na shuhuli za ujezi wa taifa licha ya changamoto kubwa za korona tulizonazo, moja kwa moja niende kwenye point nimekuwa nikitumia usafiri wa pik sasa kwa muda mrefu imefika mahali nakuwa na hamu Sana ya kutumia usafiri wa matairi manne kigari cha bei nafuu kuhusu swala la kushinda gereji Sio shida kwangu I'm ready to take risk kikubwa tu niwe mtu wa kwanza kwenye ukoo wetu kumiliki ndinga gharama isizid 1.5m niko Tanga
Duh..!
Unamaanisha unataka kuondoa mkosi wa kutomiliki gari kwenye ukoo wenu?
Nicheck kuna mshua anayo magari mabovu kwake tumuombe akupe moja unaleta fundi fasta analiwasha mkifika kwako linazimika jumla mpaka aje fundi tena
 
Back
Top Bottom