Natafuta kibarua chochote wakuu

Yuyo Ahumile Shamalendi

JF-Expert Member
Mar 10, 2018
993
782
Habari wakuu kwema?
Kama kichwa cha habari hapo juu naomba kibarua chochote kile iwe shamba au mifugo, au kwa wale wanaochoma chipsi tunasaidiana kazi, au kazi nyingine yoyote ile ili mradi iwe kazi halali, napatikana hapa dar ila kazi isiwe nje ya dar asanteni, mwenye kuhitaji msaidizi ani pm.

Nawasilisha.
 
Mungu awe upande wako

Mi sio wa dar ila nimekuja tu hapa mwezi uliopita huo.
kalibu sana mkuu .lakn michongo ipo mingi sana hapa dar ila inahitaj nguvu nying akili kiduchu,unaweza ukawa unapiga saidia fundi sio mbaya unapewa buk 10 mpk 15 inategemea wakt ukiwa unasubli ishu zingine mpk ku tick
 
Hizo za saidia fundi kwangu sio ngumu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom