Natafuta kibalua

sio ugomvi, ila nilikuwa natafuta sababu ya wewe kumbeza mwenzio sikuiona!

Nilichobeza nini hapo? Nimebold makosa yake...wewe ungekuwa muajiri, ungeajiri mtu ameandika barua ya kuomba kazi kwa level hiyo!? Ana diploma...nimempa za uso next time aandike kitu kinachofanana na mtu mwenye diploma!
 
hivi we unafikiri watu wangekuwa wanaandika miandiko ya namna ya jf kwenye kazi zao au kwenye maombi ya kazi, wangeajiriwa? watu wako makini sana na sehemu nyeti kama kazi, nina imani haweziandika hovyo sehemu husika.
 
JF kuna waajiri humu ndani..na yeye ameandika kwa nia hiyo, sasa kwa nini atofautishe kuombea kazi JF aandike kwa kiwango kibovu..lakini akiandika barua ya kuomba kazi ndio aandike vizuri!? Iwe JF au barua rasmi ya kuomba kazi unatakiwa uandike kwa level ya elimu yako ya 'diploma'..no excuse eti kwa kuwa ni JF unaandika hovyo hovyo tu!
 
Back
Top Bottom