nakushauri kitu kimoja, kama hutojali, usisubiri kuajiriwa jaribu ujiunge na Oriflame kwa mtaji wa 9000/tshs tu,, ni juhudi zako kuuza product unapata faida, pia bonus utapata kwa mwezi kutokana na cc utazofikisha..

Jamani bado sijapata kazi hadi sasa, nilitangaza hapa hapo awali kuwa nina Bachelor of science in food science and technology mpaka sasa sijafanikiwa kupata kazi. Naomba mnisaidie wakuu maana hapa ninapokaa nakaribia kufukuzwa muda wowote. Naombeni mnisaidie wakuu napatikana kwa 0758 106 501
Sasa yeye si amesomea mambo ya misosi? I hope degree yake ina wide range of application. Ukingoja mpaka apate kazi labda Kiwanda cha Tanga Fresh kwenye kutengeneza maziwa au kwenye viwanda vingine vya kusindika vyakula, atakufa njaa mtaaani... Cha muhimu kwanza aingie kwenye payroll. Viwanda bongo hakuna....