Jaman mm ni dereva na nimemaliza kidato cha sita,natafuta kazi ya edereva ila sina uzoefu na magari makubwa.Kwa magari madogo nina uzoefu na vilevile naweza kufanya kazi nyingine kama za viwandani.Nina familia na matokeo ya form6 hayako poa na ndo maana nimeshindwa kuendelea miaka5 iliyopita.0687181843