Natafuta kazi

Natafuta kazi

jimmy jay jay

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
223
Reaction score
39
Habari zenu wana JF.

Mimi nimesomea mambo ya kusimamia ujenzi wa nyumba na Barabara lakini Kazi hio niliifanya miezi sita tu,halafu nikapata Kazi nyingie ya uwalimu lkn kwa bahati mbaya shule hio badae wakaifunga kwanzia siku hio nikaanza kuhangaika kutafuta Kazi ila sijabahatika.

nikaamua kujiajir nikafungua kibanda cha kuuza Nguo buza kanisani rakini Wateja hamna na Ni nafamilia inaonitegemea mpaka sasa sijui nifanye je! ndio mana naomba kama kuna mtu ana tarifa ya Kazi yoyote anisaidie, Mimi ni mchapa Kazi na ni muanifu.


contact:0719105823
e-mail:jermocart@gmail.com
 
Siumesomea mambo ya ujenzi? Jiajiri bwana
 
Kuna Nafasi Huku Kilombero Zimetangazwa:
POSITION: PPS OPERATOR(3)

EDUCATION: FORM IV

SKILLS: Report Writing

DEADLINE: 01/06/2015

CONTRACT: PERMAMENT

Kwa Maelezo Zaidi Nipigie 0757856336
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom