serikali kupitia shirika la elimu Tanzania na TPDC kwa ushirikiano na makapuni ya oil and gas,..wanatarajia kuajiri vijana wapatao 500 ktk sekta hii mpya Tanzania kuanzia mwezi january na mwezi march 2015,hivyo wameandaa crush program itakayoanza 6 october 2014..walengwa ni vijana wenye elimu ya form 4 na form 6 ambao watasoma kwa miezi 6 na kupelekwa kwenye ajira moja kwa moja baada ya kuhitimu!..kwa wale wenye elimu kuanzia diploma watasoma kwa miezi 3,kozi ya oil and gas management!...Ada kwa kundi la kwanza ni tshs 1,150;000 na kundi la pili ni Tsh 550,000 kwa yeyote mwenye kuhitaji fursa hii akachukue form shirika la elimu tanzania,application form ni Tsh 20,000 deadline ni tar 30 sept 2014
Copy & paste from Utumishi.
nimetuma kama nilivyoipata