Kidato cha sita alafu unaandika kihuni?ama kweli haya ni maajabu ya dunia.nisaidieni elimu kidato cha cta
Kidato cha sita alafu unaandika kihuni?ama kweli haya ni maajabu ya dunia.
What do u mean cta,kaz,jmn!!!!!!!
jamani nataka mpka kujiua nisaidieni npate kazi
ndio umeandikaje sasa????kaz yoyote icpokuwa kaz za ndan elimu kdato ch cta mimi n ke
munimuni,hutaweza kupata kazi kama una uandishi wa kihuni na kitoto namna hii.Ukikua tuwasiliane kwa pemselewa@hotmail.comkaz yoyote icpokuwa kaz za ndan elimu kdato ch cta mimi n ke
ndio umeandikaje sasa????
miss chaga nimeshaweka Uzi zangu nyingi humu lkn hakuna aliyenisaidia jmn masimango ninayopta nymbn mpka naona nyumb chungu