NYEHUNGE
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 344
- 68
nimamaliza chuo 2006 mpka leo nipo mtaani
Unasema....???
nimamaliza chuo 2006 mpka leo nipo mtaani
nimamaliza chuo 2006 mpka leo nipo mtaani
nimamaliza chuo 2006 mpka leo nipo mtaani
nyie mnaokazana kuwaambia watu wajiajiri mnanikumbusha msemo mmoja wa kibuddha. "when the stomach is full it is easy to talk of fasting"
Hiyo heading inaonesha haipo serious hivyo sidhani kama mwajiri mwenye akili timamu anaweza kukupa kazi.
Ushauri wangu: usiwekeze akili yako kwenye kuajiriwa. Jiulize Bakhresa kaajiriwa na nani? Kwanini usitamani wewe uwaajiri watu wengine. Hebu wekeza kwenye kujiajiri ili siku moja uwape ajira vijana wenzako.
Pole. Mkuu mimi mitatu sasa!
Wanasemaga mtaji ni akili sio PESA ila sina ushahidi sana na usemi huu.Hvi mtu anaezaje kujiajirii bila kuwa na capital??? Wawezesheni kwanza ili waweze kujiajirii
Hivi nyie watu mnaotupigia mayoe etii ohh Tujiajiri mna akili kweli?
mkuu. kumbe na wewe ni jobless, nenda ufipa muombe mbowe uwe hata mfagiz wa ofis
Kwa ujeuri huo, tegemea kusugua benchi zaidi.Nitengeneze heading ya nn kwani hujaelewa au