Nitengeneze heading ya nn kwani hujaelewa au
Nitengeneze heading ya nn kwani hujaelewa au
Tengeneza basi hata heading nzuri
nyie mnaokazana kuwaambia watu wajiajiri mnanikumbusha msemo mmoja wa kibuddha. "when the stomach is full it is easy to talk of fasting"
Jamani mwaka sasa tangu nimalize chuo nipo mtaani, nimesomea degree ya ugavi
Afu eti anajishangaa hajapata kazi mpaka leo.Tatizo sio kuelewa ila unatafuta kazi hivyo washawishi wadau waisome thread yako kwa kuweka heading nzuri maana huwezi jua mtu atakaekusaidia.Lakini kwa uandishi huo mtu anaona haupo serious na kazi
acha ujinga mwaka tu unalalamaJamani mwaka sasa tangu nimalize chuo nipo mtaani, nimesomea degree ya ugavi
E inamaana gani sasa?acha ubishi wa kitoto..ndio maana haujapata kazi!Nitengeneze heading ya nn kwani hujaelewa au
nyie mnaokazana kuwaambia watu wajiajiri mnanikumbusha msemo mmoja wa kibuddha. "when the stomach is full it is easy to talk of fasting"