mkuu asante kwa kuweka picha.. sasa kwa vile ushakuwa verified, fanya hivi...
1.. weka jina lako halisi
2.. taja umri wako
3.. sema unaishi dar es salaam sehemu gani
4.. toka ufike dar es salaam mwanzoni mwa mwaka huu, unaishi vipi kwa sababu ulishasema huna kazi wala mtu wa kukuhifadhi wala kukulisha?
5. toka ufike dar es salaam, umefanya kazi gani ya kukuingizia kipato? na umekuwa ukiishi wapi na kivipi?
jieleze kwa ufasaha uweze kusaidiwa!