Natafuta kazi

Natafuta kazi

Aaah jamani kwani blackberry shilling ngap?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ndo hapo inamaana kna kanunua kwenye NIPENI OFA kwa bei ya 20000 sasa ndo mtaji upo wapi.....?????
 
Jamani mm ni binti natafuta kazi yoyote hile ata sehemu ya kujitolea nna degree ya business administration! Mwenye kunisaidia ni PM.asanteni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

uko wapi nitafute 0762843274
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom