Natafuta Kazi

Polax

Senior Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
116
Reaction score
6
Sina kazi sina chochote yani just home vipi mie ni mgeni hapa dar natafuta marafiki wa kunipa kazi hata ngum nitapataje??
 
Sina kazi sina chochote yani just home vipi mie ni mgeni hapa dar natafuta marafiki wa kunipa kazi hata ngum nitapataje??

huku ndio kubalehe?

mkuu pole lakini kwa kuhangaika muda mrefu unasaka kazi!

lakini mbona bintimzalendo alikupa namba yake ya simu? au ulimzingua kule jukwaa la kazi?

au hutaki kuuza bucha la samaki?

(nakumbuka hio dili..! hahahahahaaaaaa!!!)


Mimi ni sister sio bro, nipm au chukua no tuongee

haya Polax, tuambie unataka nini tena ndani ya jiji la dar es salaam?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha uyo nilimcheki akana mbia atanifahamisha asubuhi lakini mpaka now hakuna kitu rafiki yangu
 
Mie hapa niko Really katika kazi sio utani
 
Huo ndio uanaume sasa, changamoto ndio muda muafaka

Kuwa mtu wa kujichanganya changanya itakusaidia, ukisikia zege umo, ukisikia kuna chochote kitachoweza kukuendeshea maisha yako wewe jichanganye tu, baada ya muda mambo mengine yatafuata

Sababu utakuwa na kamtaji kako, hata uchuuzi sio mbaya kwa kuanzia
 
Unaelimu gani? Unaweza kufanya kazi na wachina?
 
Una elimu gani na umesomea nn cha msingi kubali kuanzia hata kazi za kijinga hata zege huko2 utakutana na channel coz kuna jamaa kwenye kampuni ambapo nipo alikubali kuanzania kama kibarua wa chini kabisa akasema wasimtambue kama graduate but for now keshawin maisha keshapata position yk kama accountant
 
Utafit naweza kufanya nao si kazi tu kamanda wangu nashukura sana best yangu kwa Harufu kwa ushauri wako /UTAFITI NAMBA YANGU IYO HAPO KAMA KWELI wanahitaji 0685816103
 
Hahahaha jamaa yangu hata iyo nauli ya kuja mombasa mpaka nipate tenda then naweza kuja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…