Natafuta kazi

Natafuta kazi

mzeesam

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
92
Reaction score
70
Natafuta kama yoyote hata ya kiwandanj, waiter, barman, office assistant, no.0679222414 nipo dar
 
Short story : (kama n mpambanaji huwenda ukapata kitu)

2020 - 21
Dunia ilipinduka, nilipata majanga nikapoteza mtaji wote kusolve matatizo!!
Hapo nimepanga mwenge mpakani, akiba yote ilobaki mfukoni ni 55k
(Hiyo pesa ndio Nile hapo, nifanye kila kitu hapo.... kwakuwa nilipoteza mtaji wote kazi pia ikabidi niache maana bila mtaji siwez fanya lolote)

NILICHOFANYA ILI NISIFE NJAA

(Huwa nnabiashara zangu mbili ambazo ndio mkombozi wangu mambo yakinifika puani.... hizi hazijawah nitupa kabisa✍️
1. Kuuza handbags za kike
2.Fundi simu

Huwa nikipoteza ramani ya maisha kabisa,, nikirudi hapo ntakuwa na uhakika wa kula na kulipa Kodi.

Ngoja nikufungulie code ya mikoba, huku tunaendelea na story ✍️

Baada ya kubaki na 55k nikajiona kabisa jiji la Dar linaenda kuniua,,,, haraka nikaingia Facebook kuuza Laptop yangu pendwa ambayo ilikuwa ndio Tv yangu pindi nikitoka job
Kwakuwa ilikuwa haikai na chaji nikalazimika kuuza 90k
Jumla nikawa na 145k
Nikachukua 10k kuzungukia masoko yangu kuona mabadiriko na kutafuta eneo la kupiga umachinga ili kumshinda adui njaa bila kusahau kutafuta sehemu ya kutunzia mzigo uliobaki baada ya mauzo

Siku inayofata baada ya kupata clear info: nikaamka saa 10 alfajiri kwenda Tandika (Hapa huwa wanachana balo za mikoba ya mtumba siku 6 za week)
Bei zao n rafiki sana.... 2k, 3.5k, 4k, 5k, 6k, 7k n.k

(Soko la nyuma likawa Tandika halafu Mzigo nauza Kawe kwa Mwamposa.. target ya soko langu ikawa n waumini wa Bulldozer 😁)

Nilipofika Tandika sikuwa nawaza kutafuta pesa za kutoboa,,, hofu yangu n mtaji wangu uwe palepale wakati tumbo langu likiwa full

Nikatenga 50k kama mtaji wangu halafu 7k... nauli na akiba njiani

Siku hiyo nikanunua mzigo wa 50k
(Nilichukua mikoa 3 mikali kwa 5k each....
Nikachukua mikoba ya kawaida... 4 kwa 3.5 each
Halafu pesa ilobaki nikachukua wallet za kike zenye mapungufu kidogo... nikaomba waniuzie jumla kwahyo nikapata kwa 500, 700

Baada ya hapo nikaenda kukaa pembeni nikanunua super glue,, nikazitengeneza wallet zangu vizuri
(Hapa nilikuwa na-add value ✍️)

Baada ya hapo nikaenda kawe:
Nilipofika mfuko nilobebea mzigo nikaupasua katikati nikautandika chini.... kwakuwa wenzangu walikuwa na vipaza sauti mm sina
Nikachukua mkoba ambao ndio roho ya biashara Yani ule mzuri kuliko mali zangu zote
Nikaufuta vizuri nikachukua na mafuta ya kula nikaupaka .... ukawa unang'aa kama almasi😁😁😁
Lengo nikajisemea huu mkoba ndo hatima ya biashara yangu, huu ndio kipaza sauti changu, huu ndo uchawi wangu, huu ndio utaniitia wateja

Haukupita muda,,, nikaanza kuona waumini wakipita macho yote kwenye mkoba wangu,,, maana niliuweka mbele kama tai

Bei zilikuwa hivi... wallets niliuza 1500 kwa 2000
Mikoba ya 3.5k nikauza 5k
Halafu hii ya 5k..... nikaanzia 10k mwisho 8k

(Ule mkoba wangu wa matangazo wateja walipokuja kuulizia nilitaja bei kubwa ili wanunue hizi mali zingine.... mpk jua likazama na wenyewe nikauuza

Siku hiyo nilirudi home nimechoka ila mtaji wangu upo mkononi na faida 20k mkononi
(Hiyo ndio kazi iloniweka mjini.... mpk nikapata kamtaji ka kuendelea na harakati zangu zingine

Kama utaamua kufanya hii... Siri ya mafanikio n kucheza na ibada za katikati ya siku
Siku ya ibada za watu wa mkoani... usipeleke mzigo wa location wala mikoba ya bei kubwa
(Siku hyo beba mikoba ya kishamba... hapo utauza mpk ushangae,

Siku ya ibada za vijana beba nainai na vipochi vizuri vya location)

Jumapili changanya kila kitu maana wapo watu aina zote.

Kamwe usipeleke products za kiume... Usijaribu kabisa!!

Taarifa ya kutia moyo:
Kuna wakati nilikuwa napata Hadi 60k profit per day
Kwa mtaji wa 130k

End of story: kazi kwako mpambanaji 🚶🚶
 
Very inspiring,,,,, ! Hongera kwa uthubutu mkuu
 
Mkuu bado unaendelea na umachinga?
 
nicheck 0679222414 mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom