OfficilaNdurotz
Member
- Sep 13, 2019
- 26
- 37
Okay nashukuruHizi website unapata kazi duniani bila kujali rangi muhimu vigezo tu kwa mtu mwenye professional na asiye na professional
. indeed
. linked
.live and study abroad
. job in USA
. job in Dubai
Job in UAE
. Glassdoor
Huku hakuna sijui kujuana, sijui rushwa, sijui connection.
Ni wewe tu na vidole vyako kubofya tu.
Angalizo usitoe hela yeyeto huduma ni bure
NilitemwaUle mpunga wa TRA uliomwagwa juzi hapa ulihudhulia kweli wewe au walikutema?
Sijakuelewa mkuuFanya hivyo now.. huwa sipatikani mara kwa mara huku
Aloo acha na mimi nikaaply niende ulayaHizi website unapata kazi duniani bila kujali rangi muhimu vigezo tu kwa mtu mwenye professional na asiye na professional
. indeed
. linked
.live and study abroad
. job in USA
. job in Dubai
Job in UAE
. Glassdoor
Huku hakuna sijui kujuana, sijui rushwa, sijui connection.
Ni wewe tu na vidole vyako kubofya tu.
Angalizo usitoe hela yeyeto huduma ni bure
Mkuu karibu sana naomba tafuta uzi wangu wa connection za kazi mbali mbali skilled na Unskilled kisha nenda kani tag huko nije nikupe updates...Sijakuelewa mkuu
Qualifications au?Nilitemwa
Qualifications au?
Sio lazima ulaya sema tu wengi kwa sababu ya English kuna nchi zinalipa vizuri na uhakika na sio ulaya mfano South Korea, Japan,Oman,nkAloo acha na mimi nikaaply niende ulaya
Ndio niko tayariUko tayari kuwa turnboy kwenye Lori?