Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
Jun 11, 2023
Posts
11
Reaction score
59
Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato.

Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo.

Napatikana Dar es salaam

Mawasiliano; 0762408926
 
Habari mimi ni kijana wa miaka. 24 nimemalza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato
Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier , kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo


Mawasiliano ; 0762408926
Mwaka huu 😅
 
Tumia elimu yako ya chuo kujitengenezea fursa ajira ni utumwa kataa ajiraaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom