Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by sugi, Jan 4, 2012.

 1. s

  sugi JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Mimi ni muhitimu katika chuo kikuu cha ar es salaam (udsm)mwaka 2010,nimesoma bsc.edn(MATH&Information system)natafuta kazi itakayonifaa kwa kozi hiyo napatikana kwa no.0782816630
   
 2. T

  Tody's vision Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna kazi ya kufundisha primary math kuanzia std 5hadi 7 na weekend full time 24/7 makazi unapata na chakula cha shule mashahara laki 200000 upo tayari? ni porini umeme hamna jenereta lipo kuanzi saa kumi na mbili na nusu jioni mpaka saa 4 kamili usiku.
   
 3. s

  sugi JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,367
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  thanx,contact please
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Siku izi walimu hamuajiriwi tena na serikali?
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mnnnh kweli hali ni mbaaaya,hadi waaalimu????????????
   
 6. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wee! usimtanie, ana degree tena ya UDSM akafundishe primary?! tena porini, kwa huo mshahara kiduchu, kweli nimeamini njaa haina adabu.
   
 7. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,869
  Likes Received: 6,319
  Trophy Points: 280
  Watu hawana hata shilingi we unasema mshahara mdogo pumbavu we wajuu yangu
   
 8. magilu

  magilu Member

  #8
  Jan 8, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matusi yanini naye ametoa mawazo yake,why unamtukana!!!! sio poa hiyo.
   
Loading...