Hayo mapori mpanda katavi y'ako sehemu Gani ambayo hayana watu (hayana umiliki) unafika unafyeka tuNenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Nenda baa ya jirani ujitolee kuhudumia vinywajiNdugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana
Kwanza kabisa mimi ni graduate wa bachelor degree in accountancy nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30 ,kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,
Kwa mtu yoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi popote inayoendana na course niiyosoma kama vile accountant,sales&marketing et iwe private ata gvt institution hasiste kunijuza
Kama hauwezi kumsaidia mtu angalao basi usimuumize zaidi, maisha ni kupanda na kushuka mkuu... be humbleNenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Ulipata ile kazi ya ukarani wa sensa uliyokua unaifukuzia mkuu?Nenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Wewe jamaa nakuona(ga) kama mtu uliyekata tamaa na maisha na hujui ufanye nini. Unapenda sana kuwatukana wenzako bila sababuNenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini

Hili nalo neno!!👌🏼Hayo mapori mpanda katavi y'ako sehemu Gani ambayo hayana watu (hayana umiliki) unafika unafyeka tu
Vp wakulima wa alizeti na ufuta mpanda wana hela sana maana imeonekana hicho kilimo huko kinalipa (naamini huna taarifa yoyote juu ya icho kilimo)
Sio lugha nzuri hata kama wewe una maisha mazuri. Umeshawahi kufika katavi? Je utafyeka pori la mtu au game reserve? Hiko kilimo utafanya bila mtaji? Umeshawahi kulima wewe? Atauza wapi? Mkuu sio kila mada ni ya kucomment, nyingine pita kimya tu mkuu kama hujaiona.Nenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Ni kweli, anatakiwa abadilike. Ni kweli humu hatufahamiani ila unaweza mjua mtu kwa kile aandikacho. Muandiko umebeba utambulisho wa mtu. Huyu anaonekana ni "psychatric"Wewe jamaa nakuona(ga) kama mtu uliyekata tamaa na maisha na hujui ufanye nini. Unapenda sana kuwatukana wenzako bila sababu
Nenda mpanda katavi Kuna mapori makubwa kafyeke ulime ufuta na alizeti. Sasa wewe umekalisha makalio tu hapo kwa shemeji hutaki kutoka mjini uende mbwinde kutafuta fursa. Niushauri tu sikuzodogoi ila fursa zipo kijijini
Unaona aje upite kwenye biashara binafsi, ujitambulishe na kuona ni jinsi gani utaweza kuwawekea vizuri mahesabu ya biashara zao?Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana
Kwanza kabisa mimi ni graduate wa bachelor degree in accountancy nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30 ,kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,
Kwa mtu yoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi popote inayoendana na course niiyosoma kama vile accountant,sales&marketing et iwe private ata gvt institution hasiste kunijuza
Pole sana mkuu, piga moyo konde, endelea kupambana utapata tu.Ndugu zangu hadi kufikia hatua hii ninapitia kipindi kigumu sana
Kwanza kabisa mimi ni graduate wa bachelor degree in accountancy nina mwaka tangu nimalize nipo mtaani tu na umri wangu ni mkubwa zaidi ya miaka 30 ,kila nikiapply kazi mbalimbali zinazoendana na career yangu unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,
Kwa mtu yoyote ambaye anaweza kunisaidia kupata kazi popote inayoendana na course niiyosoma kama vile accountant,sales&marketing et iwe private ata gvt institution hasiste kunijuza
Mimi sitegemei ajira ktk kuishi Kwangu. Anyway hiyo kazi sikupata maana siku ombaUlipata ile kazi ya ukarani wa sensa uliyokua unaifukuzia mkuu?
Nimetukana hapo au nimemshauriWewe jamaa nakuona(ga) kama mtu uliyekata tamaa na maisha na hujui ufanye nini. Unapenda sana kuwatukana wenzako bila sababu
Unajuaje unafaulu vizuri, na umedhibitishaje Kuna konnekisheni!!!unakuta naenda kwenye interview ila unakuta nafaulu vizuri ila kazi nakosa kwa sababu watu wanapeana kwa connection ata kazi za sensa na postikodi nikiapply lakini sikupata kwa sababu zinatolewa kwa connection na mimi sina iyo connection,