I guess umefata cheti kwa kuungaunga umepungukiwa nauri na pesa ya kujikimu huna.Ndugu zangu nipo dodoma jana nilijaribu kuomba msaada wa shillingi 15000 ila sijapata kwa yeyote aliyepo dodoma anaweza kunipa kazi nipo tayari.Asante
Am broke than facki Boss.Kaka kama una kazi yoyote naomba
Dodoma TuMdogo wangu hujaweka hata namba ya simu mnafeli sana hapo