Mm kitaaluma nimesomea Ualimu ngazi Shahada, Nilihitimu Chuo Mwaka wengi tunauita wa Majaribu 2015.
Nimekua Muumini Sanaa wa Kuamini Kujiajiri Kama Nguzo Baada ya Ndoto tulioitegemea Ajira serikalini kuota Mbawa, Tokea Namaliza Masomo nilijiajiri Mwenyewe Kuchoma Viazi na Kuuza Chaja za Simu Kwa Pamoja ila Bado Changamoto ya Mtaji wa kujikwamua Bado Naona shida kufikia Malengo na Kuondokana na Dhana ya Kuilaumu serikali wakati Bado Serikali yenyewe inachangamoto Tokea Uhuru.
MSAADA - Nilikua Naomba Mwenye Kazi Yoyote Anitaarifu Nijumuike nae ili kujikwamua walau hata CONNECTION PIA ITASAIDIA -Kazi Yoyote naweza Fanya nje ya Taaluma Yangu.
Nb:
Ushauri Nao naupokea na Maswali ili kufikia Lengo, Kwa sasa nipo Dar es salaam .Asanteeni Wakuu
Sent using
Jamii Forums mobile app