Natafuta kazi

Tinnah999

Member
Dec 19, 2018
5
0
Habari wakuu,natafuta kazi,nimesoma takwimu katika chuo kikuu cha Mzumbe degree ya kwanza,GPA yangu ni second upper class(4.2)
 
Kazi gani unataka, njoo tufungue ufisi ya uwakala wa miamala ya pesa, and will sign the contract
 
GPA yote hiyo ya nini??

Maboss wote kwenye maofisi wana 3.0 Sasa wewe na kiherehere chako una 4.2 unadhani watakupa kazi???.. Ili uwanyang'anye ofisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom