Doreen20
Senior Member
- Oct 12, 2018
- 139
- 76
Rejea kichwa cha habari hapi juu Naitwa Doreen Gabriel Ni muhitimu wa Diploma ya Record/library and Information Studies nina uzoefu wa wa mwaka moja na miez 2kupitia hii kazi katika taasisi fulani, pia nimesomea computer katika chuo cha Open University kwa miez 7 nina uzoefu wa fani ya IT vilevile.Mwenye kampuni,Shule,Chuo,Au hata Wenye uhitaji wa mtu wa Record msisite kunicheki PM au Kwa email yangu gabrieldoreen444@gmail.com.Ahsanteni