faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 768
Iyo mboga anaweza kuchuma dada ako???????
No mamako anaweza
Iyo mboga anaweza kuchuma dada ako???????
Je, unaweza kuendesha pikipiki?Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu ya miaka mitatu kwenye magari na mitambo pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)
Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali
Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
Mmh pikipiki si atakufaJe, unaweza kuendesha pikipiki?
Hapana mkuu siwez labda kama kuna nyingineJe, unaweza kuendesha pikipiki?
Naiweza mkuuJe, unaweza kuendesha pikipiki?
Wenzio wanashida kweli unaketa masiharaKuna kazi ipo sharti ujue kuchuma mboga
Nafurahia kijana mwenzetu wa kiume anapojitokeza kutafuta kazi na watu wakatoa respond nzuri kama hivi! Maana tulishajenga hulka ya kujinyanyasa gender yetu wenyewe kwa kusaidia ule upande mwingine kuliko upande wetu wa ubavubwa kulia...
Ubarikiwe kiongozi upate.
Naiweza mkuu
una tako laini sana wwKuna kazi ipo sharti ujue kuchuma mboga