Natafuta kazi

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,299
3,411
Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu ya miaka mitatu kwenye magari na mitambo pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)

Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali

Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
 
Salaam wakuu,

Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha Sita, umri nina miaka 25 .Nahitaji kazi yoyote halali nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) , buchani, n.k naishi Dar.

Kwa mwenye msaada ,njoo pm tuwasiliane

Asanteni
 
I hope ingekuwa vema zaidi,endapo ungeweka namba za simu.kwa ajili ya mawasiliano.
All in all i wish you all the best,chief.
 
Ni busara kuwa na busara.

Mungu akusaidie mkuu katika utafutaji wako kazi, usije ukakatishwa tamaa na watu wenye dharau na kejeli
 
Nipo Dar es Salaam, nahitaji nafasi ya kazi au kibarua halali, nimesimamisha mwaka wa masomo kwa mwaka mmoja kwa matatizo ya ada,
Mwenye nafasi yoyote ya kazi au kibarua katika field ya mechanical engineering, nisaidie.

Tuwasiliane pm
 
Salaam wakuu,

Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha Sita, umri nina miaka 25 .Nahitaji kazi yoyote halali nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) , buchani, n.k naishi Dar.

Kwa mwenye msaada ,njoo pm tuwasiliane

Asanteni
Njoo pm mkuu
 
Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu kidato cha 6, pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)

Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali

Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi
Njoo pm
 
Nafurahia kijana mwenzetu wa kiume anapojitokeza kutafuta kazi na watu wakatoa respond nzuri kama hivi! Maana tulishajenga hulka ya kujinyanyasa gender yetu wenyewe kwa kusaidia ule upande mwingine kuliko upande wetu wa ubavubwa kulia...

Ubarikiwe kiongozi upate.
 
Nipo dar es salaam, ni kijana wa kiume ,nahitaji kazi halali ,iwe dar au pembezon mwa dar, nina elimu kidato cha 6, pia nina ujuzi wa Magari na utengenezaji wa mashine mbalimbali(kudesign na kufanya maintanance)

Nahitaji kazi za KUUZA MADUKA YA VIPURI VYA MAGARI, AU KUREPAIR, au kazi yoyote halali

Naomben msaada wenu,
Pm ipo wazi

Kuna kazi ipo sharti ujue kuchuma mboga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom