helime
Member
- Mar 13, 2017
- 6
- 5
Habari zenu wakuu kwa majina yangu naitwa helime octavian ni msichana mwenye umri wa miaka 23 nimesoma chuo kimoja kilichopa hapa dar es salaam college of business education.
Nilisoma cheti ya kozi hyo lakini nikashindwa kuendelea na diploma kutokana na mambo fulani ya kifamilia ila nampango wa kurudi mwezi wa tisa wa sasa nipo nyumbani.
Natafuta kazi yoyote ile iwe ya supermaket iwe ya duka yoyote ntafanya isiwe ya kazi za ndani au ya bar asanteni wakuuu.