natafuta kazi

niko tarayari ila nina mdogo wangu ambaye ana soma shule ya msingi na ana nitegemea mimi ndie baba au mama.......!!!
 
Umefanya vyema kuweka hitaji lako hapa jamvini kwani naamini; mahali fulani, mtu fulani, katika wakati huu anamhitaji mtu kama wewe, anakosekana tu wakuwaunganisha, endelea kuwashirikisha marafiki wengi zaidi ili apatikane wa kuku-link na huyo muhitaji. Vile vile unaweza kufikiri jinsi ya kujiajiri kwa hiyo elimu uliyopata, unaweza kutafuta mtu mwenye capital na wewe una ujuzi mkafungua biashara kwa taaluma uliyonayo. Mimi nilishawahi kufanya hivyo na nilifanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom