Natafuta kazi za Viwandani

Natafuta kazi za Viwandani

Oktoba20

New Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
3
Reaction score
1
Habari za leo wakuu,

Kwa walioko Dodoma na wanaofahamu wapi ninaweza pata kazi za day work viwandani, nina ujuzi wa Microsoft Excel na Word pia naweza kufanya kazi yoyote kama kutunza mifugo kama kuku na nguruwe au hata kazi yoyote, nimepostpone semester chuoni ili nishughulikie maswala ya ada.

Napatikana Dodoma

Natanguliza shukrani🙏
 
Nenda Kiwanda Cha Magodoro Dodoma Asili
Pale Nilikwenda Nimekuta Watu Wengi Sana Vijana Wanafanya Kazi
 
Nenda Kiwanda Cha Magodoro Dodoma Asili
Pale Nilikwenda Nimekuta Watu Wengi Sana Vijana Wanafanya Kazi
Asante mkuu,samahani hicho kiwanda kiko sehemu gani ukitokea nyerere square?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom