Natafuta kazi za ndani

Natafuta kazi za ndani

Dears, My JF name is Len Daw, 22 years old, I am a graduate in a University in Tanzania -Social Science with very good pass marks. My Father is a teacher with a very low salary.

I am looking to be a maid/house for 1 year and before I depart, I will give a three month notice and I demand a 1-month notice.
I know how to cook a lot of Tanzania foods and continental foods and even some You tube foods.

I have all the good knowledge to take out the stress in the family /house. I know what problems other house girls cause…they will never happen and I am ready to be corrected ad to be cross checked in any minute…I can use most modern machines in the house including rice cookers, ovener and I am a quick learner for all that I don’t know. I can care all children at any age and solve with them their home works, clean the house under minimum supervision.

Cleaning clothes and everything in the house. I can also be giving basic training to the children regarding basics knowledge in social affairs and what to do to be educated and be a gentleman/lady in this fast world.

By paying me only 600,000 for 30 days i.e., working from 6am until 00:00 is my requested amount. In that way 1you would have saved my brothers and sisters who are a looking for my assistance to pay for their school fee part, God bless you.

I have extra knowledge in general education and playing with kids.

I have 3 guarantors including my father.

Len Daw,
12/12/2021
Yaani ulipwe laki 6 uhousegirl hapa Tanzania???
Una utani wewe.
 
Ni vizuri kuota ndoto wifi. Kwamba laki 6 apewe yeye, halafu alishwe, atumie sabuni, umeme, maji, mahali pa kukaa bure, jumla 1M kwa mwezi.
Yaani muache kufikiria school fees za watoto muwe mnawaza mshahara wa Dada Million 12 kwa mwaka ukijumuisha na matumizi mengine.
 
Nimecheka sana
Nikajua nimeona vibaya labda kaandika elfu 60.
 
Nimecheka sana
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Nikajua nimeona vibaya labda kaandika elfu 60.
Ndio maana imeandikwa kwa kiingereza kwamba kinahitajika wakati wa kupika,kufua, kudeki,kuosha vyombo, kupiga pasi n.k. Ingekuwa elfu 60 tusingechoshwa kusoma maneno kama "ovener"
 
Dears, My JF name is Len Daw, 22 years old, I am a graduate in a University in Tanzania -Social Science with very good pass marks. My Father is a teacher with a very low salary.

I am looking to be a maid/house for 1 year and before I depart, I will give a three month notice and I demand a 1-month notice.
I know how to cook a lot of Tanzania foods and continental foods and even some You tube foods.

I have all the good knowledge to take out the stress in the family /house. I know what problems other house girls cause…they will never happen and I am ready to be corrected ad to be cross checked in any minute…I can use most modern machines in the house including rice cookers, ovener and I am a quick learner for all that I don’t know. I can care all children at any age and solve with them their home works, clean the house under minimum supervision.

Cleaning clothes and everything in the house. I can also be giving basic training to the children regarding basics knowledge in social affairs and what to do to be educated and be a gentleman/lady in this fast world.

By paying me only 600,000 for 30 days i.e., working from 6am until 00:00 is my requested amount. In that way 1you would have saved my brothers and sisters who are a looking for my assistance to pay for their school fee part, God bless you.

I have extra knowledge in general education and playing with kids.

I have 3 guarantors including my father.

Len Daw,
12/12/2021
Wapendwa, Jina langu la JF naitwa Len Daw, miaka 22, ni mhitimu katika Chuo Kikuu cha Tanzania -Sayansi ya Jamii nina ufaulu mzuri sana. Baba yangu ni mwalimu mwenye mshahara mdogo sana.

.natafuta kuwa mjakazi/nyumba kwa mwaka 1 na kabla sijaondoka nitatoa notisi ya miezi mitatu na nadai notisi ya mwezi 1.
Najua kupika vyakula vingi vya Tanzania na vyakula vya bara na hata vyakula vya You tube.

Nina ujuzi wote mzuri wa kuondoa mafadhaiko katika familia/nyumba. .najua ni matatizo gani yanayosababishwa na wasichana wengine wa nyumbani…hayatatokea kamwe na niko tayari kusahihishwa tangazo ili kuchunguzwa kwa dakika yoyote…naweza kutumia mashine nyingi za kisasa za nyumbani zikiwemo za kupika wali, oveni na mimi ni mwanafunzi wa haraka wa kujifunza. hayo yote sijui. .Ninaweza kuwajali watoto wote katika umri wowote na kutatua nao kazi zao za nyumbani, kusafisha nyumba chini ya uangalizi mdogo.

Kusafisha nguo na kila kitu ndani ya nyumba. .Ninaweza pia kutoa mafunzo ya kimsingi kwa watoto kuhusu maarifa ya kimsingi katika maswala ya kijamii na nini cha kufanya ili kuelimishwa na kuwa muungwana/mwanamke katika ulimwengu huu wa kasi.

Kwa kunilipa 600,000 tu kwa siku 30 yaani, kufanya kazi kutoka 6am hadi 00:00 ni kiasi changu nilichoomba. .kwa njia hiyo 1ungewaokoa kaka na dada zangu ambao wanatafuta usaidizi wangu wa kulipia sehemu yao ya karo ya shule, Mungu awabariki.

Nina maarifa ya ziada katika elimu ya jumla na kucheza na watoto.

Nina wadhamini 3 akiwemo baba yangu.

Len Daw,
12/12/2021.

Muliokimbia umande
 
Ndio maana imeandikwa kwa kiingereza kwamba kinahitajika wakati wa kupika,kufua, kudeki,kuosha vyombo, kupiga pasi n.k. Ingekuwa elfu 60 tusingechoshwa kusoma maneno kama "ovener"
Amejieleza vizuri sana
Ila yaani uhousegirl tu mtu alipwe laki 6??
Laki 6 mshahara wa mtu kazini huo ..
Kwahiyo mtu anambwagia wote housegirl?

Akipata hata kwenye elfu 50 amshukuru Mungu.
 
Wapendwa, Jina langu la JF naitwa Len Daw, miaka 22, ni mhitimu katika Chuo Kikuu cha Tanzania -Sayansi ya Jamii nina ufaulu mzuri sana. Baba yangu ni mwalimu mwenye mshahara mdogo sana.

.natafuta kuwa mjakazi/nyumba kwa mwaka 1 na kabla sijaondoka nitatoa notisi ya miezi mitatu na nadai notisi ya mwezi 1.
Najua kupika vyakula vingi vya Tanzania na vyakula vya bara na hata vyakula vya You tube.

Nina ujuzi wote mzuri wa kuondoa mafadhaiko katika familia/nyumba. .najua ni matatizo gani yanayosababishwa na wasichana wengine wa nyumbani…hayatatokea kamwe na niko tayari kusahihishwa tangazo ili kuchunguzwa kwa dakika yoyote…naweza kutumia mashine nyingi za kisasa za nyumbani zikiwemo za kupika wali, oveni na mimi ni mwanafunzi wa haraka wa kujifunza. hayo yote sijui. .Ninaweza kuwajali watoto wote katika umri wowote na kutatua nao kazi zao za nyumbani, kusafisha nyumba chini ya uangalizi mdogo.

Kusafisha nguo na kila kitu ndani ya nyumba. .Ninaweza pia kutoa mafunzo ya kimsingi kwa watoto kuhusu maarifa ya kimsingi katika maswala ya kijamii na nini cha kufanya ili kuelimishwa na kuwa muungwana/mwanamke katika ulimwengu huu wa kasi.

Kwa kunilipa 600,000 tu kwa siku 30 yaani, kufanya kazi kutoka 6am hadi 00:00 ni kiasi changu nilichoomba. .kwa njia hiyo 1ungewaokoa kaka na dada zangu ambao wanatafuta usaidizi wangu wa kulipia sehemu yao ya karo ya shule, Mungu awabariki.

Nina maarifa ya ziada katika elimu ya jumla na kucheza na watoto.

Nina wadhamini 3 akiwemo baba yangu.

Len Daw,
12/12/2021.

Muliokimbia umande
Yaani hata angeongea kikwao
Kwa huo mshahara anaosema sidhani kama kuna mtu atakuwa tayari kumlipa.
 
Amejieleza vizuri sana
Ila yaani uhousegirl tu mtu alipwe laki 6??
Laki 6 mshahara wa mtu kazini huo ..
Kwahiyo mtu anambwagia wote housegirl?

Akipata hata kwenye elfu 50 amshukuru Mungu.
Labda kuna mabalozi humu Mwe! si unaonaga vile wanarusha magari yenye namba plate za kibalozi. Sisi na umasikini wetu tusichoshe watu wenye ndoto zao.
 
😀😀😀 Ndio ubandike tangazo lako sasa, kwamba umesoma degree ya...UDOM ,kazi ngumu umeona ufanye tu yoyote utafute mtaji wa kuanzia etc..etc...
Tatizo wewe hamna mwanamama atakubali kukuajiri na bastola hizo labda mjane Hahahhaaaaaa
Hivi kaka hatafuti housegirl huko??
Nipo available😂,,kazi ngumu.
Ngoja niandae CV,wamama wasiogope😄nina muonekano wa kitoto

Halafu uhousegirl kwa elfu 50 ni hela nyingi sana maana huduma nyingine zote napata bure,
Kazi yangu ni kufanya saving tu.
 
Otate nanee,I'm not sure in tz there are house maids paid 600000tsh,I know most of them are given 50000 to 100000tsh,but some who are working to Indians are given 100000-200000tsh and most maids working to Indians complaining there alots of work to do,600000tsh is such a salary given to most government employees even private employees.I heard house maids in Dubai are paid good like your employed by a good company or government in Tz,if your interested try looking for a agency to work in Dubai.
Dubai and not saudia , lebanon, and iran
 
Dah, ulichokiandika hakina uhalisia kabisa. Wenzio graduate kwa wahindi wanapata 200-400K, tena hapo amepigika hasa weye unataka 600K it's impossible. Jaribu uarabuni.
 
Better to find husband who can manage to take yourself and ur family but you mention salary of an engineer not a salary of house maid.
Even if you working at the embassy as cleaner never expected to earn 600K per month.
My dear u have too much expectations which never work in this life of Tanzanians.
Wishing good luck))
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom