Mi nakuitaji ila nataka uweke picha yako nikuone kama utanifaaMimi ni mwanamke mwenye umri usiopungua miaka25.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education"
Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka
Kazi kuu inayonifaa ni
a. Kulea watoto
Nina ujuzi wa kutosha kulea watoto kielimu...kimaadili na kimwili pia. Watoto wako watafurahi kushinda nami kipindi hiki cha likizo
b. Usafi
Kufua nguo Za watoto...kupiga Deki nk
Niko kama machine kwani nimekulia kwenye familia ya watu wengi
Kazi nisizoweza kufanya:
Kumpikia Mume wa mtu Kama nitapata kwenye familia ya Mke na Mume.. Hiyo ni kazi ya mke
Kufua nguo za mume wa mtu
Ikiwa nitapata mwajiri mume ama Mke Asiye na mwenza hizo kazi naweza kufanya!!
Ratiba
Nina uwezo wa kufika saa kumi na mbili asubuhi na kuanza taratibu za kazi mpka saa kumi na mbili jioni
Malipo:
Elfu hamsini kwa wiki.
Uaminifu
Asilimia Mia...
Mahali ninapoishi
Dar es salaam pembezoni kidogo na mji
Nb
Wengine mtanipa ushauri nianzishe tuition nishaanzisha
Imekufa Wazazi huku uswazi wagumu kutoa pesa na watoto hawapendi kusoma.
Mitumba viatu nimeuza yaani nimetembeza door to door... Mtaji umekufa.
Ahsanteni.
Aliye tayari anipm
nimerekebisha mkuu kwenye ratiba Sehemu ninayoishi aje pm aliye tayariHujaongelea siku ngapi za wiki. Unaishi wapi yaani wilaya ili iwe rahisi kwa mtu kuliko kukusumbua wakati waishi mbali
Mm nataka kazi ya Ndani siyo video queenMi nakuitaji ila nataka uweke picha yako nikuone kama utanifaa
Ahsante maisha mitihani smtympole ambao tunasoma baed uku mavyuoni kazi tunayo... Kama vyuma vimekaza namna hii.....
Amenkwa haya uliyoyaandika hapa nauombea KWAKE YEYE upate kila lenye khair.
Natarajia kuiona yako. RegardsNjoo pm
May you Start?Kioffice inapendeza.nicheki pm....
Kazi utakayompa ni ya kukufundisha kusoma na kuelewa unachosoma!Hujaongelea siku ngapi za wiki. Unaishi wapi yaani wilaya ili iwe rahisi kwa mtu kuliko kukusumbua wakati waishi mbali
ingependeza ungeanza wewe mkuu, any way kwa vile umeruhusuMay you Start?Kioffice inapendeza.
Nilikuwa sijaweka siku bhaji mkuu..AmenirekebishaKazi utakayompa ni ya kukufundisha kusoma na kuelewa unachosoma!
karibuingependeza ungeanza wewe mkuu, any way kwa vile umeruhusu
Ajira imekuwa ngumu sana aisee kama mambo ndio haya. Kuna kazi moja ikimature ntakutafuta nikuajiri. I hope unaweza kutuma Computer (MS Word & Excel) na unaweza kudraft reports. All the best kwenye interviews zako.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education" Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka
najaribu haziji.. better if you can start.. thankskaribu
Amen... naweza!!Ahsante Sana.Ajira imekuwa ngumu sana aisee kama mambo ndio haya. Kuna kazi moja ikimature ntakutafuta nikuajiri. I hope unaweza kutuma Computer (MS Word & Excel) na unaweza kudraft reports. All the best kwenye interviews zako.