Natafuta kazi za ndani(maid)

Natafuta kazi za ndani(maid)

BerniceF

Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
62
Reaction score
58
Mimi ni mwanamke mwenye umri usiopungua miaka25.Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education"

Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka

Kazi kuu inayonifaa ni
a. Kulea watoto
Nina ujuzi wa kutosha kulea watoto kielimu...kimaadili na kimwili pia. Watoto wako watafurahi kushinda nami kipindi hiki cha likizo
b. Usafi
Kufua nguo Za watoto...kupiga Deki nk
Niko kama machine kwani nimekulia kwenye familia ya watu wengi

Kazi nisizoweza kufanya:

Kumpikia Mume wa mtu Kama nitapata kwenye familia ya Mke na Mume.. Hiyo ni kazi ya mke

Kufua nguo za mume wa mtu

Ikiwa nitapata mwajiri mume ama Mke Asiye na mwenza hizo kazi naweza kufanya!!

Ratiba
Nina uwezo wa kufika saa kumi na mbili asubuhi na kuanza taratibu za kazi mpka saa kumi na mbili jioni
.Kila siku kasoro jumapili na siku nitazokuwa naenda kwa interview.

Malipo:
Elfu hamsini kwa wiki.

Uaminifu
Asilimia Mia...
Mahali ninapoishi
Dar es salaam pembezoni kidogo na mji

Nb
Wengine mtanipa ushauri nianzishe tuition nishaanzisha
Imekufa Wazazi huku uswazi wagumu kutoa pesa na watoto hawapendi kusoma.
Mitumba viatu nimeuza yaani nimetembeza door to door... Mtaji umekufa.
Ahsanteni.
Aliye tayari anipm
 
Hujaongelea siku ngapi za wiki. Unaishi wapi yaani wilaya ili iwe rahisi kwa mtu kuliko kukusumbua wakati waishi mbali
 
Mi nakuitaji ila nataka uweke picha yako nikuone kama utanifaa
 
Hujaongelea siku ngapi za wiki. Unaishi wapi yaani wilaya ili iwe rahisi kwa mtu kuliko kukusumbua wakati waishi mbali
nimerekebisha mkuu kwenye ratiba Sehemu ninayoishi aje pm aliye tayari
 
Hujaongelea siku ngapi za wiki. Unaishi wapi yaani wilaya ili iwe rahisi kwa mtu kuliko kukusumbua wakati waishi mbali
Kazi utakayompa ni ya kukufundisha kusoma na kuelewa unachosoma!
 
Nimehitimu shahada ya sanaa ya Elimu Yaani "Bachelor of Arts with Education" Nimekuja Hapa jamvini kuomba nafasi ya kuwa mfanyakazi wa Ndani anayekuja na kuondoka
Ajira imekuwa ngumu sana aisee kama mambo ndio haya. Kuna kazi moja ikimature ntakutafuta nikuajiri. I hope unaweza kutuma Computer (MS Word & Excel) na unaweza kudraft reports. All the best kwenye interviews zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom