neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 681
- 2,293
Habari wakuu! Kama kichwa ķinavyojieleza mimi ni mtaalam wa kutumia computer na simu za mkononi lakini pia nina uzoefu wa kufanya matangazo mbalimbali mtandaoni, nina uzoefu wa kufanya content creator kwenye mitandao ya kijamii kama YouTube, Facebook, twitter, Tiktok n
sambamba na hayo ni mwandishi mzuri wa makala mbalimbali na nimewahi kufanya kazi na kituo kimoja cha t.v. nchini kenya!
ni mwepesi wa kujifunza, nina laptop na simu kubwa! Nahita mtu, au taasisi, kampuni ambayo inaweza kunipa kazi ya mtandaoni, ninaamini hiyo kazi nitafanya kwa ufanisi sana maana ninao muda mrefu wa kukaa mtandaoni!