Natafuta kazi yoyote

Pole Ila usithubutu kwenda viwandani hasa Kwa bakhressa au mo. Utapata matatizo ya Afya na utadumaa Akili maana wanalipa elfu tatu.
Umewahi kwenda ukalipwa elfu tatu??
Akili unajidumaza mwenyewe kwa kutokua na malengo.
 
Mjini hapa mkuu!
Kila mtu anaishi kwa akili yake.
 
I can feel what you are passing through, inshallah everything will be alright
 
Nenda soko la mabibo la ndizi wahi alfajiri hautokosa Cha kuanzia
 
Sumu no moja kukaa vijiweni,kukaa home umelala utakufa
We wahi kariakoo au masokoni jibu utalipata TU,usichoke kuongea na watu ukifika huko watakushika mkono
 
hapana ndugu naifuatilia jamiiforum tangu 2017 niliifaham kupitia free basics ilikuwa inapatikana bure
Umesema una miaka 21

Hapa unasema umeifatilia JF toka 2017 ambayo ni miaka 7 imepita, je kwa umri huo wa miaka 14 ulikuwa na smartphone?
 
Umesema una miaka 21

Hapa unasema umeifatilia JF toka 2017 ambayo ni miaka 7 imepita, je kwa umri huo wa miaka 14 ulikuwa na smartphone?
jamiiforum,mwanaspoti na bbc zilikuwa ni huduma za bure kutoka free basics katika tekno na itel zote za batani zenye opera mini sasa hivi naipata kupitia google
 
jamiiforum,mwanaspoti na bbc zilikuwa ni huduma za bure kutoka free basics katika tekno na itel zote za batani zenye opera mini sasa hivi naipata kupitia google
una sim inayotumia opera mini nikuelekeze cha kufanya mkuu ili kukutoa wasiwasi?
 
We jamaa huwa uko makini Sana, huna utoto kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…