Nakuombea na nimekutumia nauliHabarini ndugu wana jf.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21,elimu yangu ni form 2.Sikuweza kumaliza shule kwa sababu maisha ya nyumbani sio mazuri familia yetu ni ya mama mmoja na watoto watatu wa kiume na mimi ni wa kwanza kuzaliwa.Ninaomba msaada wa kazi ya aina yoyote ndugu zanguni maana kwa upande wangu kila siku afadhali ya jana mfano leo tangu asubuhi nimetoka nyumbani (ninaishi na marafiki wa5 ghetto mwananyamala kisiwani ila kiasili baba mmakonde mama ni wa Tanga na siishi nao) alfajir kwenda kutafuta kazi masaki ila nimeambulia patupu na sijala tangu jana mchana hapa nilipo ni mawazo mabaya yananiandama naombeni mnisaidie mi ni mchapakaz mzuri tu shida kazi ndo sina.Nipo tayari kwa kazi yoyote na mwenyezi mungu awape wepesi wa mioyo natumaini kilio changu kitasikika amiina 0694925915
Kureply; unaenda kwenye comment au ujumbe uliowekwa hapa unabonyeza sehemu iliyoandikwa replyMungu akubariki kaka nashukuru sana nimeiona mungu akuzidishie
asante kaka ndo maishaPole Sana
biashara yoyote kaka kutegemea na wew utakavyoona inafaaOption namba 2 ukipata sponsor unaweza kufanya biashara gani ndogondogo ya kujikimu?
mungu atakulipa natumaini na mimi siku moja nitasaidia wenye dhiki kama mimi
biashara yoyote kaka kutegemea na wew utakavyoona inafaa
Tuma hela dogo ale sio kuleta maneno tu kama simbilisiOption namba 2 ukipata sponsor unaweza kufanya biashara gani ndogondogo ya kujikimu?
Mama yako Mzazi ameniomba ya salon ndio namalizana naye Kwanza.Tuma hela dogo ale sio kuleta maneno tu kama simbilisi
unachekesha sana, ww hicho kitabu umekisoma ushakuwa na ela?😂😂🤣Mama yako Mzazi ameniomba ya salon ndio namalizana naye Kwanza.