janaina idd
Member
- Sep 15, 2017
- 10
- 2
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
Mkuu janaina ingefaa useme walau kazi zipi labda unaziweza kwa ufasaha wake na uweke wasifu wako kidogo maana yeyote nayo kazi kueleewa.Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
naishi mwanzaNiambie yafuatayo nikupe kazi
Unaishi wapi?
Kama ukipata kazi unataka ulipwe kiasi gani?
Je unajua kutumia computer?
Mbona huu uandishi unaonekana we ni wa kikenaishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
mmmmmh sio wa kikeMbona huu uandishi unaonekana we ni wa kike
naishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
Athala [emoji5]Mbona huu uandishi unaonekana we ni wa kike
kwani haiwezikanDuh
mimi nipo dar
dogo rekebisha huo mcharazo wako mbona unaandika kama ***** halafu unasema lengo sio kutoa hasara sana unamaanisha utasababisha hasara kiasi ama?naishi mwanza
computer najua Ila sio sana
kuuus mshahala ni maelewano binafsi kutokana na kazi tyu lengo lang ni kuwa sikupi athala sana iri mradi Mimi nirudi shule mwaka ujao
Endelea kutafuta nayo ni kazi pia, ila usife moyoNina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa
Nina umri wa miaka 20 mvulana pia nina tabia nzirnatafta kazi yoyote sehemu yoyote nipo tayr kufanya kazi kuanzia sasa