Natafuta kazi yoyote ya ofisini

Natafuta kazi yoyote ya ofisini

Nailaswrty

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
20
Reaction score
30
Naitwa NAILA

Naishi KIBAHA.

Nina umri wa miaka 19 elimu yangu ya darasa la 07 natafuta kazi yoyote ofisini.
 
Mungu akujaalie upate hitaji la moyo wako.
 
nichek PM faster,yaani nilikuwa namtafuta mdada wa kufanya kazi kwenye ofisi yangu... kweli hi ni bahati yako.....
 
Ukifanikiwa ukuje kutoka shukrani kwa wana jamii forum huku pia uwatia moyo na wengine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom