Natafuta kazi yoyote ya kibarua, kazi ya jikoni au hata kusaidia fundi ujenzi

Habari ya leo wakuu?
Nimerejea kwenu tena kwa mara nyingine nikiwa naomba msaada wenu mkubwa sana wa kupata kazi yoyote kama kibarua au kazi za upishi wa vyakula ama kuchoma chipsi na nyama kwenye sehemu mbalimbali ama kazi yoyote itakayo patikana niko tayari,pia bila kusahau nna uwezo wa kufanya kazi ya marketing.Naishi Mbeya
Nawasilisha kwenu wakuu
 
Joseverest uko wapi?
Kwa mtoa mada, Kwahiyo kazi unataka ufanyie pub tu. Napata mashaka na wewe
 
Mkuu elewa nilicho ongea kama una mashasha naomba rudia kuisoma upya,nine Sema nafanya kazi yoyote sehemu yoyote ya pub unayo isema wewe nimeigusia tu mkuu,samahani kama nime eleza vibaya
 
Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good custotomer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatikuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709
 
Habari ya leo wakuu?

Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Mbeya,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na chips, nyama choma na mengineyo, hapo na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good customer care/business language inahusika sana,special promotion kwa wateja wetu,kuwafanyia wateja wetu wanacho taka ili tuweze kuwa na wateja wakudumu na kuwapata wapya watakao vutiwa na huduma zetu nakuwafanya waendelee kuwa wetu,pia nna uzoefu katika kazi za mauzo nikiwa kama normal distributor ama Team Leader/sales supervisor, nna kanuni na hatua mbalimbali za mauzo zitakazo niwezesha kuwa na Marketing Chanel/sales team kubwa na imara na inayo fanya mauzo mengi kwa mwezi nikiwa kama

Team Leader/sales supervisor au kupata wateja wengi kupitia kanuni na zile hatua za mauzo nikiwa kama normal distributor ambapo ntaweza kuwa na utangulizi mzuri utakao muwezesha mteja kuendelea kunisikiliza mpaka ununuzi wa bidhaa yangu,pia nna uzoefu katika kazi inayo husika na Real Estate ambapo hapa nilihusika sana kama project manager kwa kampuni ambayo ilikuwa changa,tuliweza kuwekeza kwa vitu ambavyo viliisaidia kampuni yetu kukua na kufika mbali ila kwa bahati mbaya ilifungiwa kwa vigezo vya kusema hatukuwa na kibari cha mradi,pia nna uzoefu katika kazi ya kufanya mahesabu na kuhakiki mauzo au biashara yoyote ile.

Nashukuru kwa wewe uliye soma thread yangu ubarikiwe.
Mawasiliano yangu ni 0758741531 au WhatsApp 0625711709
 
najua good custotomer care

Hiko ni nini ulicho andika mkuu..?

Ila umejieleza vizuri kushinda hizi ndezi zenye madegree zilizomo humu..
Mungu akusaidie upate mkuu..
:):):):):(:(
Nashukuru kwa kunikosoa mkuu nilikosea kuandika simu ilijiminya mara mbili nami nika click creat thread bila kusoma kwanza,nashukuru mkuu nilikuwa namaanisha good customer care
 
najua good custotomer care

Hiko ni nini ulicho andika mkuu..?

Ila umejieleza vizuri kushinda hizi ndezi zenye madegree zilizomo humu..
Mungu akusaidie upate mkuu..
:):):):):(:(
Ndezii..zenye degree..hahaaaaa ninawasiwasi na wew mkuu
 
najua good custotomer care

Hiko ni nini ulicho andika mkuu..?

Ila umejieleza vizuri kushinda hizi ndezi zenye madegree zilizomo humu..
Mungu akusaidie upate mkuu..
:):):):):(:(
Acha mbwembwe toa connection mtu apate kazii..wabongo bana complicator sijawah onaa
Wa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom