Natafuta kazi yoyote ya halali

Hzo ni fikra zako tu wapo wengi sana wasiojua kupika hayo maandaz. Ucdhani kila anayeitwa mwanamke anaweza Fanya kaz zote za upishi. Ugali tu unaweza kumshnda sembuse maandaz. B serious aseee
Mimi nipo serious sina joking apa, kazi za kujiajiri zinalipa, pia hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu, ila kama ana nia atajua, kama vp mtafutieni izo kazi mlizonazo, watu wamefanya mambo makubwa kwa biashara ndogondogo hizihizi mnazozidharau, mimi ni mjasiriamali najua ninachokisema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom