Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

Dee Mallz

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
30
Reaction score
22
Habarini wana JF.
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21 Nina elimu ya kidato cha nne. Natafuta kazi yoyote iliyo ya halali. Ila sio kazi za ndani(house girl)
Asanteni
 
Unatafuta kazi ya nini, uza hiyo simu yako upate mtaji ukauze maandazi inalipa kuliko mshahara wa 300,000/- kwa mwezi
 
Unatafuta kazi ya nini, uza hiyo simu yako upate mtaji ukauze maandazi inalipa kuliko mshahara wa 300,000/- kwa mwezi
Niuze cm baba yangu kijijni akinitafta atanpatia wapi? Laki 3 nayo helaa
 
Kuna kazi Massage parlour flani hivi according to your profile pic nadhani itakufaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom