Natafuta kazi yoyote ya halali

Natafuta kazi yoyote ya halali

Habarini wana JF. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 21 Nina elimu ya kidato cha nne. Natafuta kazi yoyote iliyo ya halali. Ila sio kazi za ndani(house girl)
Asanteni
sasa hutaki kazi za ndani unataka za nje au
 
Hakuna mwanamke anayeshindwa kupika maandazi, vinginevyo anataka kitu kingine
Hzo ni fikra zako tu wapo wengi sana wasiojua kupika hayo maandaz. Ucdhani kila anayeitwa mwanamke anaweza Fanya kaz zote za upishi. Ugali tu unaweza kumshnda sembuse maandaz. B serious aseee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom