Natafuta kazi yoyote relating to my career nina bcom ya finance na cpa mod e,nisaidieni wana jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi yoyote relating to my career nina bcom ya finance na cpa mod e,nisaidieni wana jf

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by My cpa, Dec 4, 2011.

 1. M

  My cpa Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimehangaika sana bila mafanikio,plse
   
 2. under_score

  under_score Senior Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ... usikate tamaa mdogo wangu, kazi ni mingi sana kwa course hiyo uliyosomea, -u just keep on applying for any vacant Post between Accounting and Finance and a job is some where there for you, -i mean dont just confine yourself to Finance Posts, after all, as far as i know, Finance discipline is one step ahead of Accounting ..., -someome correct me if i'm wrong ...
   
 3. K

  Kikomelo Senior Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Uko sawa ndugu, ofisi yake iko sehemu fulani sema tu hajaijua. so, ili afahamu ilipo hiyo kazi yake inabidi aendelee kuomba tu! Kaka we kaza moyo, kazi ni ngumu kweli kweli cha muhimu jiandae vyema kwenye pofessional yako uwe fit sana ili siku ukiitwa kwenye interview uonyeshe uwezo wako hasa. Kama mwanfunzi wa Bcom nategemea ujue kuanzi IAS 1 hadi IAS 41, na kuanzia IFRS1 hadi IFRS 13. ukiitwa kwenye interview ya Auditing basi base maelezo yako kwenye ISAs. Jaribu kuwa competent kiasi kwamba uweze kuwa unaintergrate Accounting na Auditing. Kwa mfano ukijua kuwa IAS 8 inazungumzia "change in accounting policy, estimate and error" na ukishaijua nje ndani basi kwenye auditing inabidi ujue kuwa IAS 540 "Auditing of estimates" inasemaje.kwa jinsi hiyo unaweza kulink hizo knowledge na kumuonyesha kuwa wewe uko safi.

  Na unapokuwa unafanyiwa interview jaribu kuwa unachomeka maelezo ya kwenye standard ili umuonyeshe mwajiri kuwa unajua. kwa mfano mtu akikuuliza, "You as an accountant, tell me how to establish cost of the builiding at the year end", basi sehemu kama hii ndo ya kuwaonyesha kuwa wewe siyo book keeper ila ni accountant. Unaanza na IAS 16 (Propert Plant and equipment), then IAS 23 (borrowing cost) IAS 36(empairment), then unailink na IAS 40 ( investment propert), unaweza kuiusisha na IFRS 5 (non current asset held for sale and dis continuing operation, kwa kuonyesha unajua unaweza ukailink pia na IAS 20 (Goverment grants). hizo accounting standards zinaihusu kwenye cost of non current asset. na maswali mengine yote unaweza ukayajibu kwa staili hiyo hiyo. kama kwa kutumia IAS 37 (contingent assets, contingent assets and provision).

  hata auditing ni hivyl hivyo. chukua muda jua vitu. accounting is all about standards na interview nyingi za siku hizi zinawatafuta watu wanaojua vitu.

  Nakushauri, usikariri, elewa concept ili usije ukaingia chaka. ukishajiamini kuwa uko safi nenda kwenye auditing firm
  Nakutakia kila la kheri.
   
 4. M

  My cpa Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana wadau kwa ushauri wenu mzuri nitafanyia kazi
   
 5. M

  My cpa Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kaka,kwa kipindi hiki ninazifahamu vizuri IAS na Isa zote coz nilizisoma sana nilipokuwa najiandaa na pepa ya nov 2011 mod f,so niende auditing firm kabla hawajatangaza kazi au
   
 6. K

  Kikomelo Senior Member

  #6
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama uko safi na standards, basi we nenda personally kwenye auditing firm uombe internship. wanakuwa wagumu kutoa internship lakini we jaribu kufatilia. si lazima ukomae na big four hata zile nyingine unaweza kujaribu.
   
 7. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #7
  Dec 5, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wasomi wetu hao wanalialia, duh, kweli ipo kazi
   
 8. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  una experience????????????/ya muda gani??????????sio unalialia tu.
   
 9. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Peleka CV pale FINCA magomeni.Ujaribu hapo.
   
 10. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  We nawe,acha kukatisha watu tamaa,kwani wasio na experience hawapati kazi?Na hao walionazo waliaanzia wapi?
   
 11. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sikiliza usitafute kazi uliyosomea wewe apply kazi yoyote ile ukishapata ukiwa ndani ya kazi itakuwa rahisi kupata ya kwako unayotaka. Kuna dada ni mwalimu ana Masters lakini aliapply admin assistant ofisini kwetu akapata baada ya mwaka zikatokea kazi akaapply internal, akawa Associate Director wa Health education. Tatizo sisi tunatafuta tu tulichosomea na hatutaki kazi za chini tunaona hazilingani na elimu zetu lakini ni nzuri kwa kuanzia.
   
 12. v

  valid statement JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni hata izo nyengine ambazo sio taaluma yao unakuta hawapati. Mungu awatie nguvu, soko la ajira ni gumu sana kwa wahitimu.
   
Loading...