kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 11,730
- 13,198
Jiheshim usipende kujumlisha ,uramadhani kabwili unauweza
Ntakuja unifundishe mkuu.. naitamn San iyo misheKama upo serious njoo tuuze chips bunju hapa nichek 0621 523916
(NB usibague kazi cha msingi mkono uende kinywani, mimi mwenyewe ni degree holder tena MD lakin nauza kiepe)
Kwa kuwa upo katika field tayari ungemuainishia pia ni kwa namna gani anaweza kunufaikaKama upo serious njoo tuuze chips bunju hapa nichek 0621 523916
(NB usibague kazi cha msingi mkono uende kinywani, mimi mwenyewe ni degree holder tena MD lakin nauza kiepe)
Naomba konekshen mkuu mm mwanamke elimu ya msingi 29yrs .Misaidie bropole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?
Nina kampuni yangu ipoo sinza inaitwa bata batani tuna deal na maswala ya promotions kwa sasa tunatafuta dancers wanaoweza kucheza kutangaza bidhaa mtaaniPlease wana JF kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam
Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua
Jinsia yangu ni wa kiume
Umri miaka 23
Elimu yangu Form 4
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani na nje ya Tanzania
Ntafurahi sana kama mtanishika mkono wana JF
Mungu awabariki sanaaaa
wanawake wanaitajika sana.......unachotakiwa ni kuwa na cheti chako cha darasa la 7...hukju ukiambatanisha na cheti cha kuzaliwa..pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida..ofisi...........zao zipo pale kwa mwinyi mikocheniNaomba konekshen mkuu mm mwanamke elimu ya msingi 29yrs .Misaidie bro
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Asantewanawake wanaitajika sana.......unachotakiwa ni kuwa na cheti chako cha darasa la 7...hukju ukiambatanisha na cheti cha kuzaliwa..pamoja na namba ya nida au kitambulisho cha nida..ofisi...........zao zipo pale kwa mwinyi mikocheni
Kwan tunamjuaMkuu humu haifai kuleta shida zako wanakuchora pambana kivyako usijitangaze una shida