Natafuta kazi yoyote ile ila isiwe Ulinzi. Nipo Dar es Salaam

Lambo jini

Senior Member
Aug 28, 2018
137
250
pole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?
Mkuu naomba connection ya hapo ulipo
 
Ambition plus

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
4,682
2,000
Eti hutaki kazi ya ulinzi.
Anyway sawa
Kazi ya ulinzi sio mchezo...
Wenzako wamelala wewe unaweka roho yako rehani kulinda mali isiyokuwa na uhai kwa ujira mdogo...

Majambazi wanapokuja target yao ya kwanza ni mlinzi wanapita nae....

Na wakimkosa wakifanikiwa kuiba tajiri akija asubuh anamtafuta mlinzi mwenye dhamana...

Sasa ole wako nae tajiri akukute mzima wa afya na kashaibiwa maanake umekula njama na majambazi umeiba..usipopigwa shaba utafungwa..

Namuunga mkono mtoa mada,
Bora kazi zote sio ya ....
 
Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,259
2,000
pole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?
Kwa mshahara huo unamzidi askari polisi wa tanzania

Hakuna mlinzi anayelipwa pesa hiyo
 
Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,259
2,000
Kaka tuwe tunaulizana kwanini kazi ya ulinzi nimeikataa sio kwamba siwezi kufanya ni mbaya hapana ila kunasababu ambazo zipo njee ya uwezo wangu ndio maana nikasema ivyo..japo walio wengi humu wamenielewa vibaya
Kwamba nazarau kazi nooo sio kweli
Wewe unadharau kazi!

Ungeleta bandiko lisitaje kazi ya aina yoyote then ukipata uchague
 
Free wheel

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
1,044
2,000
bado haujanyooshwa na maisha wewe. Unaomba kazi af unajipangia kuwa hutaki aina flan ya kazi...... Wenye elimu zao wanawish kuupata hata huo ulinzi unaoukataa wewe.

Anyway, kila la kheri
 
Free wheel

JF-Expert Member
Jul 12, 2021
1,044
2,000
Kazi ya ulinzi ishapeleka ndugu zangu jela kwa makosa yasiyo wahusu mkuu una haki ya kuchagua risk unayoweza kuikabili achana nao
usimjaze ujinga. Jela ataenda hata akiwa meneja endapo atafanya uzembe ktk kutimiza wajibu wake.
 
Abbyarico

Member
Aug 5, 2021
47
125
Kazi ya ulinzi sio mchezo...
Wenzako wamelala wewe unaweka roho yako rehani kulinda mali isiyokuwa na uhai kwa ujira mdogo...

Majambazi wanapokuja target yao ya kwanza ni mlinzi wanapita nae....

Na wakimkosa wakifanikiwa kuiba tajiri akija asubuh anamtafuta mlinzi mwenye dhamana...

Sasa ole wako nae tajiri akukute mzima wa afya na kashaibiwa maanake umekula njama na majambazi umeiba..usipopigwa shaba utafungwa..

Namuunga mkono mtoa mada,
Bora kazi zote sio ya ....

Anhante
 
widson

Member
Nov 13, 2021
12
45
Please wana Jf kama nilivyosema kwenye kichwa hapo juu. Natafuta kazi yeyote ile ila isiwe ulinzi nipo Dar es Salaam
Kama kuna mwenye connection please naomba anisaidie na mimi niweze kujikwamua

Jinsia yangu ni wa kiume
Umri miaka 23
Elimu yangu Form 4

Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote ule ndani na njee ya Tanzania
Ntafurahi sana kama mtanishika mkono wana JF

Mungu awabariki sanaaaa
Jumua maembe panga barabarani, kwa mtaji wa elfkumi tu, ukiona faida yake utajiongeza, kama Hauna mtaji omba kwa ndugu yako yote yote ambaye ni mlinzi hawezi kosa kukusaidia sh elf kumi.
 
Tachu hano

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,393
2,000
Jumua maembe panga barabarani, kwa mtaji wa elfkumi tu, ukiona faida yake utajiongeza, kama Hauna mtaji omba kwa ndugu yako yote yote ambaye ni mlinzi hawezi kosa kukusaidia sh elf kumi.

Kuongea rahisi kweli yani , ila kutenda sasa Nina uhakika hata wewe huwezi fanya ulichoshauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom