Lambo jini
Senior Member
- Aug 28, 2018
- 173
- 179
Mkuu naomba connection ya hapo ulipopole sana rafiki yangu...mimi nina diploma ya uandishi wa habari lakini ni mlinzi mzuri kwenye kampuni ninayofanyia kazi mtu anaelipwa kiwango kidogo cha mshahala ni 250k...ambayo haina longo longo kabisa...mimi ni mlinzi ambae sina cheo chochote na ninachukua mshahala mzuri tu zaidi ya 580k kwa mwezi...sasa wewe mwenzangu na elimu yako ya kidato cha nne kweli unachagua kazi...?