Natafuta kazi yoyote ila mimi ni mwalimu..

mkuu hapa jumatatu ijayo nakiamsha tena... sehemu nyingi nilipeleka wakaniambia wanasubiri ajira za serikali zitoke ili waamini kama siwatoroki... sasa ubaya serikali imeajiri 2015... sasa ngoja nikawaulize.. vp!!!!
Kama upo dar jaribu kuibuka st Anne Marie nlisikia wanatafuta watu wa hesabu kipind flan hv
 
Ukiona nafasi za walimu kufundisha Somalia mkuu omba, ajira siku hizi zinakuja kama mkaa kwenye lori.
 
Habari zenu wana JF...

Daah wakuu maisha ya kitaa yamenishinda aisee. Naombeni mnipe kazi yoyote ile iwe kufundisha au kokote (isiwe ya ndani lakini). Kama kufundisha naweza Maths, ICT na Physics nina degree ya maths na ICT ila nina uzoefu pia kwenye physics!!!

Tusaidiane wadau, njaa kali huku!
 

Attachments

  • images-2.jpeg
    images-2.jpeg
    3.6 KB · Views: 28
Kama unataka ajira ya ualimu tumia wakala kwa shule za private ni rahisi sana kupata. Waone jamaa wanaitwa Teachers Junction. Hawa jamaa watakupiga sh elfu ishirini ya usajili wao, halafu ukishapata kazi watachukua 40% ya mshahara wako wa kwanza then mnakuwa mmemalizana. Waacheki nimeona tangazo lao wao wanatafuta walimu kwa shule inaitwaa centennial christian seminary iko mbagala kongowe na mshahara take home ni zaidi ya kilo nane. na pia kwa shule nyingine bagamoyo.

Search(teachersjunction) hapa wana nyuzi zao zina contacts.. wasiliana nao.. na sasa hivi serekali ilivyochukua walimu ni kwamba wanatafuta walimu hivyo kuna posibility kubwa ukaanza kazi hata by May..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom