Natafuta nafasi ya kufundisha Physics (Mbeya)

Mfizikia

New Member
May 14, 2024
1
0
Habari wadau,

Mimi ni kijana mwenzenu ambaye Nina degree lakini si ya ualimu. Nimekuwa nilifundisha somo la Physics kwa muda mrefu katika shule mbalimbali za binafsi kwa mafanikio makubwa tu kwa vidato vyote (O and A level)

Pia nimefundisha Math kwa uchache
Natafuta nafasi ya kufundisha mkoani Mbeya kwa sababu za kifamilia

Yeyote mwenye connection anifanyie mpango
 
Habari wadau
Mimi ni kijana mwenzenu ambaye Nina degree lakini sio ya ualimu.
Nimekuwa nikifundisha somo la Physics kwa muda mrefu katika shule mbalimbali za binafsi kwa mafanikio makubwa tu kwa vidato vyote (O and A level) lakini pia nimefundisha Math kwa uchache.
Natafuta nafasi ya kufundisha mkoani mbeya kwa sababu za kifamilia
Yeyote mwenye connection anifanyie mpango
kwa nini usianzishe tuition centre yako?
 
Back
Top Bottom